
Fuel prices zimepanda and as usual, bei ya vitu mob itapanda pia.
Itakua muhimu kujipanga na ku-manage cash flow yako fiti ndio mambo ikue shwari.
Jenga Na Deloitte session iko leo, at 2pm, Online.
Mentor anaitwa George!
Karibu tujengane! Invite crew yako pia:
Join na hii link:
https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0