Fuliza na Okoa Jahazi imekua norm na hu-come through sana, for biz na pia ku-handle bills time zingine or emergency.
Limit yako imefika ngapi?
Na una-do nini kui-grow?