
Furahi day is here with us meshers!!😊 The creative art industry inataka msanii ajue kujipanga in terms of savings and investment na io pesa kiasi yenye anaearn,, Ebu tuchapiane ni ways gani ama method msanii anaeza tumia kuensure amesave na amejiestablish??🤔🤔😊
0
0
0