
🎮 Game Development opportunity🔥👨💻
💡Kucheza game ukuwa fun☺️, lakini kama developer unaeza jiundia game yako pia, opportunities ni mob kwa gaming industry na ni field poa kwa career projection 💯
💡 sometimes Unaeza kuwa na idea poa ya project ya game lakini funding inakuwa issue💔. well, today I got good news for you☺️, kama unaeza fanya documentation fitie ya project idea yako na a simple video ukiexplain vile project yako ni feasible na ukona the right skills to bring it to life unaeza pata chance ya incubation funding ya up to 1 million Kenya shillings to develop your project.
💡So kama wewe ni developer na ukona idea ya project ama unajua msee anaeza kuwa interested feel free kushare hii opportunity na wao🙏💯. check out the link below to learn more about the funding process 👇
https://nairobigames.center...
