
Game plan huwa fiti pia katika business. Example 👇👇 Kama mtu anauza Blazer -3500/- na Shirt - 600/-.. Ukitaka kuwin customer kirahisi usiuze kando kando..
Do this to your sale. Sema Buy Blazer @4000/- and get a shirt of your choice free... People will run to your shop 😁..
0
0
0