Gang,nani amejua kama mimi bizz ya samaki inabakisha mshahara ya karau monthly . Ku make roughly 60,000 kwa month si mchezo