
Gang ,ni masaa ya magizani . Tunafaa ku advance bizz zetu aje . Let's focus na vitu funny funny kwa Bizz (interior phase) ,piga michoro ya ile kazi unafanya . Kama ni kinyozi ,decorate vichwa kadhaa na design different na moto moto ,tafutana na Bulu (screen) size kidogo tu poa ,i position fiti na upate unacheza kila kitu na masaa yake ,kama ni news ni masaa yake ,kama ni ma movie ni masaa yake .Focus na Hygiene pia ,make sure una mob base yako like kila time tu everday , kuwa na shuka mob na upate unazifua after exchange . Tafutana na pesa huko shuleni ,chukua contract shule kama tatu ama nne kulingana na uwezo wako . Set a standard price kwa kinyozi yako . Kama ni watoi tuseme for instance ikuwe ni 20 bob kulingana na mahali umeeka biz. Tuchagamkeni wasee na bizz .finally whatever you do,committ it to the Lord 🙏