
Garbage na waste disposal ni muhimu sana during this raining season manze to avoid all the water Borne disease na mnajua design zii hua deadly kwanza in flooding areas.
Manze tu recycle na tudisporse vitu vizuri na penye inafaa everything else depends on our health and well being first . #garbage management #recycle
0
0
0