
Gardem na wamatha ndio ukuwa major contributors wa kilimo shags, but wao u face challenges zenye sisi men do not. Wako na less access to resources na services, zikiwemo vitu kama land, chedax, training, equipment na pia kukuwa overburden na domestic responsibility na caring tasks.
What are some of the solution umecheck kwa mtaa yako ama solution yake?
Please share na sisi kwa comment ndio we encourage pia madem wenye ni mesher watujoin kwa kilimo.

0
0
0