
Gava imeamua ku-develop tracking system ya watu wako na Hustler Fund loans na hawajalipa.
Kama uko na loan yao ama ume-benefit from the Hustler Fund - what made repayment easier or harder for you?
If you've not taken a Hustler Fund loan, share reason kwa nini huku-apply.
Itakuwaje sasa? Tuchapiane kwa comments.

0
0
0