
Gava imetoa ile fee ya soo tatu kama unachukua ID for the first time. Ku-replace bado fee iko.
π In Kenya, ID sio ID tu, itβs your key to doing business au kupiga hustle rahisi.
β Business registration β KRA PIN β Opening bank/sacco account β Getting licenses & permits β SIM card registration kama uko na mobile money, kulipa na ku-receive doh.
Bila ID, huwa ngumu kiasi kufanya one two's especially in biz ama hustle.
Share na mabeshte hawaja-get ID so far.
0
0
0