
💡Get an online job 💪💡
Sometimes unapata umeiva skill Fulani kama graphics design, kutegenezea wasee posters, business cards na vitu kama hizo but hakuna job 💔 so unakuwa discouraged na una_give up , bila kujua unaeza peana similar services online na umake dooh fitie 💯
💡Provided ukona internet connection fitie na access ya lapii ama desktop hivi your good to go,
💡Next thing create account kwa platform kama Upwork ama Fiverr, sign up na details za skills ukonazo kama graphics design, web development ama writer , watch vidaa moja ama mbili YouTube ndio ujue navigation kwa izo platforms,
💡Anza kubid kazi and start working from home💪 , obviously first job itakuwa tricky kupata juu Hauna ratings but unaeza consider kufanya some cheap ones just to get a few ratings ndio wasee wakujue kama msee reputable kwa platform 💯
💡And there you have it , become your own boss🎉💪
kama ukona any follow up question ama unadai kulearn more on sema type hapo kwa comment section 💪💯 #TUJENGANE
