
GIG ALERT KWA WALE WANATAKA KUOMOKA???
FKF wameira wasee walete new design ya Kenyan football ya both male and female... So hivi ndio awards ziko?
- Winner 150K
- Winner 2, 100K
- Winner 3; 50K Hii ni pesa mzuri ama ni jaba??
Ukidai tuma designs kwa communications@footballkeny...



0
0
0