
Gig imeivana!
Unilever na MESH wanakuletea yet another amazing opportunity ya kuwa part-time UNILEVER SALES AGENT in NAIROBI:
Tassia & Nyayo Estate, Pipeline, Donholm, Umoja, Utawala, Imara Daima, South B, Dandora, Syokimau, Buruburu, Kariobangi, Mukuru kwa Reuben, Mukuru kwa Njenga
Times kama hizi, tunadai tuokoleane sana, ndio tujenge biz zetu.
Changamka! APPLY NOW hapa.👇 https://mesh.life/app/oppor...

0
0
0