Gikomba story si rahisi kuskia, especially kwa sisi wa viatu.
Tunaambiwa area ilikuwa riparian land near Nairobi River, eviction notice ilishatolewa, na sasa tumeskia pia plan ya new Gikomba market ya about KSh 3B.
Lakini katikati ya hizo maneno zote, wako Meshers wa ground wameachwa bila stock, bila structure, na bila clear next step. Poleni sana kwa yeyote ameathirika 🙏
Meshers, tupigie ma-views hapa:
- Unahisi aje kuhusu hii demolition & ‘new market’ plan?
- Ni support gani ungependa community ikupe sa hii (ideas, info, connections)?
0
0
0