
Goals zangu the coming Ni kupractice more kile nimelearn this year sector ya biz na personal life yangu. Nijue vile nitajipanga in terms of budgeting, kuomba loan, kujimarket, na so much more. Kulearn kuinteract na wase pia ndiyo nijue how to deal na different people ili niweze kuengage na customers Kwa urahisi. 2024 is a year for more learning, exploring na making mistakes for me, hata kama haijafikaš


0
0
0