God i pray for your protectionu kutokana na hardship ya life yenye imefanya vijanaa tujipate kwa crime,,mayouths banah huezi onyesha we ni ndume kwa kumada msee ili upate doh ,,it painful huezi linganisha uhai wa mtu na doh nomatter wat,, unaeza lipwa adi millioni but u will never liv in peace,,heri kuishi life ya poverty than kuomoka na pesa imejaa laana,,hawa wasee hutumia week point yetu kutubeba ufala,,rest in peace mioyo ya wote wamengenya kwa kumadwa,,,sina doh but i choose to die poor kama nitapata doh niache mtu akilia sitakuwa na amani,acha tueke drugs na tamaa kando,, vijanaa lets make a better kenya,,, kila msee ako na haki ya kuishi akikukosea kuna sheria na God pia,, tumezika wengi enough
0
0
0