
Going to the supermarket is scary!
I almost ran away today! Unaskuma trolley empty na calculator kwa mkono!
Thao saa hizi ni Mayai na Sugar. My shopping style has changed drastically. No chocolates, no snacks.
So how are you guys beating inflation huku nje? Halafu kama unajua place kuna ma offers please share kwa comment section tukimbililie huko.

0
0
0