
π₯ Good Morning Comrades! π₯ Itβs another day, another dollar β or at least 50 bob na hopes za kuamka millionaire πΌπΈ
Kumbuka: Usijipojituma utatumwa β na si kwa HR, ni kwa life yenyewe! π Leo twende mapema kabla zile "leo tunademonstrate" messages zianze kuingia kwa groups na mood ikaharibika.
ππ Drop your hustle hapa! πΉ Uko na mitumba? πΉ Uko na chapo za mafuta mingi? πΉ Uko na juisi fresh ama ukona job ya kushika camera ya TikTok?
Tell us! What are you selling today comrades? #HustleNation #ComradesBiz #AnotherDayAnotherDollar ποΈπ°πͺ
0
0
0