
Good morning dear MESHers, don't forget kuhuburi injili ya MESH huko nje, remember huku you can advertise biz yako for free and get an opportunity to link up na potential buyers or even suppliers, huku pia unapata extra tips za kugrow biz yako for free 😃, using MESH App ni bure bilashi, huku ni kujengana as Kenyans. #SisiNiMESH
0
0
0