Good morning guys,,, its been long
I have a question or ni request najua hapa siezi kosa watu wakufanya job za online kama academic writing... it's almost an year now nikifanya academic writing but mtu nilikuwa nafanya under yeye amesema anataka kuquit yeye hana account alikuwa ameandikwa na alikuwa tu ananigawia izo job kidogo kidogo ... So me ndio ntabaki hanging ilikuwa kama side job... Hii account mtu anaeza nunua aje or can i get someone anaeza ni employ nikitafutanga doh za kubuy account juu aliniambia account ni kitu 30k na pia uyo employer wake hatujai kuwa in contact ... Anyone who can hold my hand niendeles atleast nisirudi nyuma ... Advices pia zikuje the dos and don'ts za izo account since i was planning to buy one.
0
0
0