Good morning. Have you realized Group ya "Challenge" iko na active meshers wengi sana. Iyo Sector watu wanaipenda. We are happy every week tuko na challenge. Thanks Mesh. Hata kama hatushindi wote tutajikaza tu kama Brian Atoli vile alisema. Sasa washindi waongezewe kitu. Tumekaa sana kwa 700, 100 na 50bob jamani. Ongezea pesa. So that mtu akipata ananunua ka kuku ata. #OmbiLangu
0
0
0