Good Morning. Kama Mesh mnatujali na mnatupenda sisi Meshers, tunataka Challenge moja saafi ya Kufunga Mwaka!. Challenge ya power. Alafu pesa pia ongezea. Iwe hata 5k for 10 people yaawa. Mwaka uishe vizuri.