
Good Morning. Kama uneza maliza kale ka feeling ka kupata pesa then kuwa tu normal 💪.
Ukipata pesa unaona ule mkahawa umezoea kuingia ukila maharage kwa chai Kila siku unaona KFC paap!
Lile daladala umezoea kupata ukienda job,unaona Uber ndani😂 Managu, kunde, maziwa but pesa kuingia Glovo😂, kuku nyama.
Ukiweza kucontrol aiii mbele kuzuri💪.
0
0
0