
Good morning! Leo 2pm ⏰ sharp, tutakua LIVE ndani ya #MESHKonnect tukibonga na MESHers wetu wa nguvu @[ Kivaya] na @[Yassin Isaa] Topic itakua #Biashara ya #CyberCafe💯 vile unaeza anzisha hii #Biz na tips zingine za ku-grow hii #Hustle 💰💰 Show itakua hosted na the one and only @[Captain Ashok].🙌🏿
Tell a friend to tell a friend! Form hapa ni kujengana! 💪🏿 💪🏿
0
0
0