
š Good morning MESHers! Another new week to make a difference ššæ As we start the week strong, cheki hizi #Biz ideas unaeza anzisha na less than 5k!!
šš¾ Kuuza fries (chipo mwitu) mtaani. To begin, unahitaji enough supplies for a day and you are good to go! However, location utachagua ni muhimu sana, especially kama unadai ku-get customers wengi. šš¾ Biz ya mitumba. Biz ya mitumba iko na doh sana especially kama nguo za madem. Na capital ya 5k unaeza shika stock ya kuanzisha Biz. šš¾ Making and selling African Beadwork. Capital inaeza kua even cheaper kama unajua kufanya beadwork lakini pia uko na option ya kunua already made beads za kuuza at a profit. Swagg ni kila kitu siku hizi, ama vipi? šš¾ Drinking water distribution. Drinking water is life na hii biz haitaji capital mob, unafaa kunua maji kutoka wholesalers alafu unauza at a profit. Kama unadai profit fiti, target areas ziko na water shortage.
There we have it! Ongeza ideas zako kwa comments pia! Jenga MEShers na ideas zako šÆ
#StrongerTogether #SisiNiMESH