
Good morning #MESHers another week ya kujenga hustles zetu 💰💰. Kuendelea ku-hustle na kujenga #Biz zetu. Leo ndani ya #MondayMotivation tungependa ku-big up #MESHer wa nguvu mwenye amejenga #Community yetu 💪. John Mwangi from @[VOICE OF DAGO Youth group] Yeye ni MC 🎤🎤 na youth coordinator. All the best to him na hustle yake. Share hustle yako kwa comments pia, 👇👇 your next customer anaeza kua hapa #MESH 💯
0
0
0