
Good Morning Meshers baada ya 14 Feb kuisha ni poa kujua love ni ya kila siku na si ya mdaa,
Big shout out kwa wale walitumia advatnage nakupiga biashara, kuuaza roses,chocolates, Teddy bears nakadhalika.
From Mesh i received 19 Valenitne gifts from 19 blessed souls . Shukran sana wana wa Mungu.
From that ntawaletea a dope deal from whatsapp na mta earn nayo real cash.
0
0
0