
Good morning Meshers! Consistency builds trust, speed wins clients na service bora inarudisha wateja. ✔️ Jijenge na discipline ya kufungua on time. ✔️ Keep your hustle updated ✔️ Handle kila client kama VIP – hata kama volume of buying ni kidogo ✔️ Promote biz yako online – WhatsApp status, posters, word of mouth. ✔️ Save kidogo, invest polepole Hustle yako ina potential kubwa – jenga jina, jenga income, jenga future. 💪💪
0
0
0