
Good morning Meshers, Did you know that you can make money through food blogs, even if unaanza from scratch? Now here is a simple way . 1.Make sure ukona audience yako na unatambua zile stuff wanapenda in terms of recipes. 2.Social media research- fanya research fiti ju ya platforms ungelike ku engange na wasee a pia ask them what they would like to learn further.
Hizi ni steps mbili zenye nimekuwa nikimake sure na embace sana sana pale IG .Je!Nini ingine naweza ongezea kwa hii list.
#Hotelliers #Mesh4Life
0
0
0