Good morning MESHers, just a quick question;
Do you prefer uteremshe bei ya items unauza upate high sales or kuuza bei juu though slow sales? Naomba ushauri wenu tafadhali