
Good Morning Meshers!
Kwa sasa tunayo hii shida ina affect KE na hatujaongea kama vijana badoo, ROAD ACCIDENT is the issue...
Loosing Youths,Comrades,Mates and our loved once hivo tu, ni nini hatufanyi kama wenye Inchi?
Ni nini Gava haifanyi?
Shida iko wapi?
Alafu kumbuka when driving #RoadSafetyMatters
0
0
0