
Good Morning #MESHers, leo 2pm sharp⏰ kama kawaida, tutakua Live ndani ya #MESHkonnect ndio tuongee story na #Biz ya #Entertainment industry. Host wetu ni @[Captain Ashok] na MESHers wa nguvu @[Victor Okeyo] @[Megalink Production]. Tuchapie, ungependa kuuliza maswali gani kuhusu hii biz in advance? 🤔
Tune in, #Tujijenge Tell a MESHer to tell a MESHer 💯 #EntertainmentBiz 🎤🎼 #MESHkonnect 📱💻
0
0
0