
Good morning Meshers ✨, Leo tunabonga kuhusu zile mental health issues common among business owners;
- Anxiety na stress Hii inaletwa most na financial pressure juu hio biz yako ndo tegemeo ya kila kitu inahitaji dooh Kwa life, pia inaeza letwa na kufocus sana na biz mpaka unajisahau na pia kuwa overloaded na decision making.
- Depression Kama small business owner focus yako inashift kugrow biz yako Sana Hadi unajipata umejitenga Sana na wasee, pia uwoga ya kufail na burnout ni among other things zenye zinafanya mental health yako ikuaffect.
- Substance abuse Hii necessarily si ya drugs pekee, kuna wenye wanakuwa addicted to social media na betting. Hizi ni vitu mostly unafanyanga kutoka stress ya biz.
- Impact of economic uncertainty Small business owners wanaku affected Sana na fluctuations za economic market, policy change na other external pressure, hii inafanya inakuwa na intensified anxiety juu unataka biz isimame.
Unaeza share other mental health problems wewe kama Mesher in biz unapitia.
0
0
0