
Good morning Meshers, Nadai tujengane knowledge ya KU-GET OUT OF DEBTS We use hizi loans tunaget kuboost biz and stuff but as time goes on zinakuwa burden kwetu! In such scenarios ndio nadai niwapee tips tatu, give you opportunity ya kushare tips zingine zaidi pale comment section. So first, GET A SIDE GIG AMA PART TIME JOB. Hii itahelp kupata more money ya kulipa deni. Hapa kujituma ndio itakuwa biiig point cause kama ukona permanent job, then looking for a side gig itamanisha you will have to spare time yenye uko free kufanyia hiyo gig. Secondly, MAKE A BUDGET and thirdly, LEARN TO SAY NO.
#SisiNiMesh #Tujijenge #Mesh4Life #GettingOutDebts #FreeYourself

0
0
0