
Good morning Meshers,ni Juliet hapa,mimi nikona plan ya kuanza kusaidia hao watu hawajiwezi i.e Opharns,Widows na hata wale ambao wako na disability yoyote yenye inawazuia kupata daily bread. ile kidogo nitapata I will share with the needy,hata nikipata 200 kwa siku,nitashare na wao,watu wengi wanahitaji help. if you are supporting my thought finya hii tupatane whatsapp https://chat.whatsapp.com/H... tuone vile tutameet na kuagree on how to help them,and how to find them. May God bless you
0
0
0