Good morning Meshers, Nko na 50K na nafikiria business naeza anzishaaa nachanganyikiwaaaa... Hii biz ya kununua Viazi place kama Kinangop alafa nilete place ka Eldoret munaionaje?