
🔊 Good morning MESHers wa nguvu! 😎 Another #Thursday! #Opportunity yetu kujijenga na #Ideas kibao 💯 Leo, 2pm sharp ⏰ tutakua live na @[Manoti Manoti] na Ian Odhiambo!! 🔥 🔥 #Community iliwajenga opportunity kwa ground! Skia experiences zao so far; From lessons to challenges to opportunities 🙌🏿 In the meantime, maswali zao zikaam kwa comments! 👇🏿
Host wetu kama kawaida @[Captain Ashok] !! 💪🏿
#ThursdayLive #MESHKonnect #SisiNiMESH
0
0
0