
Good morning #MESHers we hope kila mtu hapa kwa community ya #MESH ako sawa and ready to hustle. 💰💰 Tuliget requests mob sana za ku-share tips za kumanage na kusave doh za #Biz. Thanks to @[Shujaaz Biz] tumeget wasee wako na experience na wanaeza kuwa Mentors hapa MESH! Skia vile wanamange doh zao alafu tuchapiane kwa comments! Form ni #Kujijenga #ShujaazBiz #BiasharaWednesdays
0
0
0