
Good morning 🌞 my fellow Chefs/Meshers Leo ni Fri , tuki welcome 😉 hii new weekend, hebu tuchapiane apo kwa comment section ukiwa na hizi ingredients, 3 cups of flour 1 1/2 cups of warm water 1 tsp of salt 1 tsp of sugar Extra spoonful of any vegetable oil for frying Wewe hupika Chapo zako aje 😊 Mine in the C.S #SisiNiMesh #Tujijenge #Cooking #KuomokaLazima #Mesh4Life




0
0
0