
🔊 Good morning to the future of Africa 🌞 leo #Community ina-share story ya Judy! MESHer ameomoka na #Biz ya #Mtush! Rules zake ni simple sana, una-faa ku-balance #Biz na #Investments equally 🙌🏿 Share your advice kwa #Comments pia, form ni #Kujengana 💪🏿
#BizSkills2020
0
0
0