
Good morning watu wangu,
Of late, nime-come ku-realize side hustle ni important sana kama wewe ni mse wa biz. Siku hizi biz imekua unpredictable sana. One day unamake doh poa and the next day akuna kaa kitu.
I believe side hustle inaeza come to your rescue biz ikienda down. The days of having one source of income zimeisha. Mnaonaje hii story?
#Biz #Biashara #Hustle, #Growbiz #InuaBiashara #MyHustle #BiasharaYangu
0
0
0