
Good news kwa borrowers as CBK imelower central bank rate
Hii inamaanisha interest ya bank loans itaanza kushuka
Say goodbye to 25%, 18% interest on loans
Banks zitakataa kushukisha interest on loans zitafainiwa between 100k to a Mili
Do you think banks zitacomply?
Share maoni hapo kwa comment section.


0
0
0