
Goooood morning Meshers, Leo kama TeeBeeTee we look back zile vitu tulifanya... in the course of making ends meet kwa life!. Mimi nilikuwa na talent/ hobby ya acting nikiwa high school so I wanted to take it to another level, nilipomaliza nikaanza acting setbooks ... haikuwork ju niliona bills hazikuwi catered for na life ilikuwa ngumu kiasi balancing school life and work... so Nika focus na shule did " DBM" later nikaopen biz yangu...
Since biz inawork poa .... During my free time ningependa kurudi kwa acting... Wasee wako kwa field tayari mnaeza nijenga advice nini imechange na new qualifications ni Gani!.
#MESHCreatives #ContentCreation #ThursdayThrowback
0
0
0