
Great things start with you, kile ngependa ili #MESH kwa ground igrow big. Ni wale Meshers wako same market wakuje pamoja as group and unit as a chama.
Then wakuje na idea ya kuhelp mayouths kwa mtaa for several community activities that takes place, create awareness for several activities, eg drug, GBV na kuwa#Educate about Mesh pia for one to get involved in Mesh Activities hadi Awe Registered, apo MESH Itajaa Kwa ground.
Thts my Idea, cz Ata KYEOP ilianza kama kaidea flan then kalipanuka na sai imeHelp youths mob.
0
0
0