*GRIT. *RESILIENCE. *DETERMINATION.
Nani amecheki stori ya uyu mlami?
Eti ame-row boat 326 days across oceans mbili, akiwa pekee yake, mpaka akafika Coast ya Kenya, Kilifi!
Jamaa ameseti new record, akuna binadamu amewahi toboa akafika akiwa hai ⛵ ⚓ 🚣🏿.
Imagine 326 days kwa ocean pekee yako, little food na sea water.
Wengine wangechizi, bila kuongea na a human soul for almost a whole year!
Wengine wangededi juu chakula na maji iliwaishia!
Alisema for weeks ma-sharks 🦈 🐬 zilikuwa zinaswim kando yake zikingoja kumkula. Lakini alikeep strong 💪🏿.
Ni ex-marine na hii ndio roho ya u-soldier yenye life inataka tu-adopt,
Hata uchumi ikienda aje, ku-give up sio option. Lazima tutoboe, lazima i-work !
Cheki motivational stori yake hapa hivi ⬇️
0
0
0