
Grow a small home business πΈ
Unemployment is still a challenge and the way things are it's looks like it will stick around a little longer π , but usikuwe discouraged now more than ever kuna opportunities kadhaa online unaeza changamkia and make some passive income as an housewife, comrade ama msee uko biz ingine mahali but still got some free extra hours unadai kutumia kwa part-time job, this is for you π:
π² selling home-made products - watu generally upenda vitu unique , so kama ukona good crafting skill unaeza changamkia hii biz na unaeza kutreate iyo skill kama biz na si kama hobby , unaeza create your own store kwa Shopify and market your products kwa social media platforms kama mesh hivi , Facebook, Instagram and TikTok,
π² service-based business - maybe uko fitie kwa skills kama graphics design, accounting , data entry ama virtual assistant, unaeza sign up kwa freelancing platform kama Fiverr , Upwork ama people's per hour set your account na uanze ku_offer hizo services kwa clients, ukianza inaeza take some time kukuwa na clients but kama uko persistent enough eventually biz itashika and you start making you good money π€
π² Print-on-demand biz - kama wewe ni msee wa arts na ukona some cool designs unaeza Anza biz ya kuprint hizo design kwa merchandise za clients wako , inaeza kuwa expensive kuanza hiyo biz solo juu itabidii umebuy hizo merchandise and the printing machines but Kuna a better alternative unaeza ifanya kama drop shipping vile ukipata clients unatumia supplier wako final design wana_print kwa products na pia wanadeliver kwa clients , wewe unachukua profit yako na biz inasonga tuu hivo , kuna platforms kadhaa kama Shopify zinaoffer hizo services , printfy , printful , customcat, teelaunch and many other , kama wewe ni msee uko fitie art and design hii inaeza kuwa baze fitie ya kushowcase your talent,
πͺStart small and grow π―π₯πͺ #tujengane
