
Growing up jua kali industry ilikuwa represented na wasee kwa workshops za kucreate products za mabati from majiko to suitcases za mabati but did you know Jua kali inaentail all industries unachekingi mtaani . Examples ni wasee wanauza smocha ,mama mboga ,wasee wanatrade mtush , fruit vendors ,wasee wa mkokoteni among others . Provided unawork kwa environment haiko enclosed uko part ya hii industry na imejenga over 60% ya Labour force yetu Jobs. Share wasee nimesahau kwa list na unafikiria wako kwa hii industry
0
0
0