
Growing Up nilipenda vile Mathe alikuwa anajituma kuweka Food kwa table, She had a Small business ya Kuuza Mchele. So Nikaamua nimsaidie kuMarkert Rice Yake Online, Sikuwa na hela ya Kumsupport na I was Only 19 years Old so I Opened a Facebook Page ( https://www.facebook.com/Ju... ) haikuwa rahisi pia maana sikuwa na Marketing Skills. I remember my first Customer gave me hope nikafungua WhatsApp Business ( https://wa.me/message/MA5CA... ) na number yangu since Mum hakuwa Connected then. Mi HuRun Business Yake Online juu ni the best platform. We Now Have a Twitter account ( @JudysPishori ) I saw a Tweet about MESH, Here I am. Shukran #MESH kwa kutupa Platform ya kuinuana na kujenga Biz #OnlineBizChallenge

0
0
0