
GUMZO MTAA
Q: MESH kwako ni nini?
A: LIFE IS A MESH, na Mesh kwangu ni connection ya zile vitu na hold dear kwa life; Mabeste, Groups, Firms, Mentor, Knowldege, growth, technical know how kwa biz na platform views zangu zina'get right audience.
Q: Nini ilifanya u'join MESH?
A: Mimi ukuwa msee tech, social media, Shujaaz and DJ Boyie mentee. Nimegrow sana through lots of their programs. So MESH ilipostart, 1 year ago, was msee "top-layer" kujoin juu ya my great believe of what they do. And through MESH wameni-prove right.
Q: Ume'benefit na nini toka u'join MESH?
A: Nikiwa msee mwenye ako na the highest connections, nime'build audience, clients na mabeste wapya wenye we share similar passion n gigs. And through hio effort, MESH wamenilink up na firms kadhaa zenye zilinipea lowest interest rate loan na grands. Pia wamenipea platform yenye na regurlar share my business experieinces yenye ina'get to wasee story zetu zina'relate na hapo naget views noma ambazo sikuwa na knowledge on. Then kuna post from Mesher's za biz ideas, ambazo nime implement and zingine na work on. Pia kuna MESH NEWs, post updates ziko biz related. Nimekuwa pia featured mara kadhaa and ku'attend live interview hapo MESH zenye pia zemeni'help ku'build more audience kwa gigs kadhaa mimi u'do.
Q: Word kwa Msee Mwenye hayuko MESH?
A: Wewe ni m'youth mwenye unataka kujibuild? Then una'miss out the next Kenya, if not, Africa greates Youths Voice Platform. It's not late tho', hop in, create account chapa connection juu #TUJIJENGE ndio tag yenye tunafaa kuwa tumevaa kama tunataka kuwa na voice moja kwa life na biz zetu. LIFE IS A MESH, kuwa m'MESH'er leo. Shukran'
